joobees255
Saturday, November 30, 2019
Monday, October 28, 2019
Friday, October 25, 2019
DAWA YA KUTIBU MBA
LEO
kwenye urembo tunaona jinsi unavyoweza kutibu mba kwenye nyele zako
kwakutumia binzari ya manjano mafuta ya nazi na limao
JINSI YA KUTENGENEZA
Chukuakijiko 1 cha binzari nyembamba changanya nakijiko 1 cha juisi ya limao nakijiko 1 cha mafuta ya nazi kisha changanya vyote kwa pamoja
JINSI YA KUPAKA
Osha nywele zako ziwe safi baada ya hapo zikaushe kisha paka kwenye ngozi mchanganyiko wako.
Kaa muda wa saa moja mpaka utakapoona zipo sawa.




